Slideshow

Slideshow 2

Thursday, March 8, 2012

VIATU VIATU VIATU………

SDC10558

haya wadau wa silver boutique…viatu vya ofisini vimewasili,

wahi mapema ujipatie size yako kuanzia size 36-43…..

bei ni powa kabisa,hata kubandika RUKSA!!!!!

2 comments:

  1. Jamani. una viatu vizuri nimevipenda kwa kazi lkn tatizo akuna contact kwenye website yenu ambayo inaweza kutusaidia kujua tutafikaje au tutafipataje, alafu kaushari kidogo tunaomba utuwekee na bei ili nilikija niwe nimejipanga sawa. okey nisaidie contant yenu na pia sehemu munayo patikana. by Nelly - Mwenge

    ReplyDelete
  2. asante mpendwa,contant zipo kwenye website upande wa kulia juu kuna information zote.....waweza kutupata pia kwny 0713 608383 au 0756608383..

    ReplyDelete