Mmmmm!!!! kweli mna nguo nzuri lakini pia huyu dada ameumbika.Mpeni salamu zangu mwambie mungu amempendelea. Natumaini mna nguo za watoto pia, nita waleta wanangu ili waweze kujipatia nguo.
Mimi nipo nje ya Tanzania ila nguo ni nzuri sana pengine kuliko hata huku ulaya na ningependa kununua. Ila shida ni kwamba sijui bei, mngetuwekea bei pembeni ya hizo picha ili tujue kila piece ni shillingi ngapi. Binafsi naomba kujua bei, ili hata nikimwagizia mtu aje kuchukua nakuwa nimempa picha, size na ajue bei zake. Pochi hizo nazo mtuwekee bei.
i know that mdada kweli kaumbika!..ila mbona sjaona skat ndefu au kama three quaters fulani hivi make wengine miguu haitupi ushirikiano(matege + vigimbi)..ila suruali zenu nimezkubali as well as the blouses...u guys big up! will call u ili nijue bei zenu....
mtoto we moto wa kuotea mbaaali,kibongo bongo(tipper)manake hauzimiki.Ndo wewe uzuri wako wa tausi, hauna kifani,imean kila nguo uivaayo inakupendeza kinoma ile mbaya.BIG UP, silver boutique..
Hi Silver Boutique, Mimi nashauri mngeweka price tag kwenye nguo zenu, nimeshawahi kufikiria kuje hapo mara nyingi lakini sijui ninatakiwa kuwa na pesa kiasi gani, mngeweka bei kabisa ili tujue tunahitaji kuja na kiasi gani cha pesa kwa vitu ambavyo tutakuwa tunahitaji.
Hi Silver Boutique, Ni vyema mkaweka bei ili mtu akija anajua anayo hela cash anachukua alichokipenda,Nauliza pia mimi ni mrefu kiasi nahitaji viatu vya harusi pamoja na sendoff party sitaki kuvaa kiatu kirefu hadi nimpite Bwana harusi,vipo?
silver boutique mko juuuuuuuu.mmewafunika.vitu vyenu ni vya ukweli sana.
ReplyDeleteWow wow Silver Boutique you are the leading boutique. i lv ur style.
ReplyDeleteMmmmm!!!! kweli mna nguo nzuri lakini pia huyu dada ameumbika.Mpeni salamu zangu mwambie mungu amempendelea. Natumaini mna nguo za watoto pia, nita waleta wanangu ili waweze kujipatia nguo.
ReplyDeletehakika ameumbika,nguo za watoto pia zipo.karibu sana
ReplyDeleteMimi nipo nje ya Tanzania ila nguo ni nzuri sana pengine kuliko hata huku ulaya na ningependa kununua. Ila shida ni kwamba sijui bei, mngetuwekea bei pembeni ya hizo picha ili tujue kila piece ni shillingi ngapi. Binafsi naomba kujua bei, ili hata nikimwagizia mtu aje kuchukua nakuwa nimempa picha, size na ajue bei zake.
ReplyDeletePochi hizo nazo mtuwekee bei.
size zote zipo.tupigie simu na tutakupa bei
ReplyDeletestay tuned for new arrival
ReplyDeletei know that mdada kweli kaumbika!..ila mbona sjaona skat ndefu au kama three quaters fulani hivi make wengine miguu haitupi ushirikiano(matege + vigimbi)..ila suruali zenu nimezkubali as well as the blouses...u guys big up! will call u ili nijue bei zenu....
ReplyDeletemtoto we moto wa kuotea mbaaali,kibongo bongo(tipper)manake hauzimiki.Ndo wewe uzuri wako wa tausi, hauna kifani,imean kila nguo uivaayo inakupendeza kinoma ile mbaya.BIG UP, silver boutique..
ReplyDeletehivi mna nguo za saizi 36 yaaani mwembamba saizi ya mwisho if yes ntafurahi sana mana kupata size yangu it is an issue
ReplyDeletehapa tuna size zote zipo mpk 34.kwetu is not an issue,karibu na utapata kila kitu kwa size yk.kuanzia suits,shirts,skirts.gowns,etc
ReplyDeleteHi Silver Boutique,
ReplyDeleteMimi nashauri mngeweka price tag kwenye nguo zenu, nimeshawahi kufikiria kuje hapo mara nyingi lakini sijui ninatakiwa kuwa na pesa kiasi gani, mngeweka bei kabisa ili tujue tunahitaji kuja na kiasi gani cha pesa kwa vitu ambavyo tutakuwa tunahitaji.
Hi Silver Boutique,
ReplyDeleteNi vyema mkaweka bei ili mtu akija anajua anayo hela cash anachukua alichokipenda,Nauliza pia mimi ni mrefu kiasi nahitaji viatu vya harusi pamoja na sendoff party sitaki kuvaa kiatu kirefu hadi nimpite Bwana harusi,vipo?