haya mashosti,nguo zetu ndo hizo zimeingia wahi ujipatie zako mapema.
asante silver boutique....umetukomboa hiyo skirt ina lastic tumboni? nitakuja niwekee size 18
hiyo skirt haina lastic bali ina MATERIAL YA SWETA HAPO TUMBONI,,,INAVUTIKA KADIRI TUMBO LIKUAVYO.
asante silver boutique....umetukomboa hiyo skirt ina lastic tumboni? nitakuja niwekee size 18
ReplyDeletehiyo skirt haina lastic bali ina MATERIAL YA SWETA HAPO TUMBONI,,,INAVUTIKA KADIRI TUMBO LIKUAVYO.
ReplyDelete