Slideshow

Slideshow 2

Sunday, May 22, 2011




6 comments:

  1. Pochi nzuri, shilingi ngapi na wa mkoani inakuwaje?

    ReplyDelete
  2. huduma kwa watu wa mikoani ipo.utatumiwa mzigo wako ndani ya masaa 24 utakuwa umekwisha kufikia

    ReplyDelete
  3. Unatumaje na pesa zinafikaje ndo tunalotaka kujua.

    ReplyDelete
  4. mzigo utatumiwa na mabasi kama uko mkoani,tumia njia ya m pesa au tigo pesa kwa malipo.

    ReplyDelete
  5. na namba za kutumia zinaonekana hapo juu.

    ReplyDelete
  6. hiyo handbad ni bei gani?

    ReplyDelete