bi mariamu ussi wa dar es salaam,anaomba msaada wa hali na mali ili aweze kuwalea watoto wake 3 ambao ni mapacha wa miezi 5.bi maryam ni mama wa nyumbani.na hana kipato chochote,hivyo hali inakuwa ngumu kuweza kuwalea watoto wake. watoto hawa wanatumia maziwa ya LACTOGEN NO 2.KWAYEYOTE ATAKAEGUSWA,msaada wa maziwa unahitajika zaidi.na mahitaji mengine.WASILIANA NA MAMA WATATU KWA NAMBA 0654 336459.
WASILIANA NA MAMA WA WATOTO HAWA ..0654 336459. AKINA MAMA TUJITOLEE KUMSAIDIA MWANAMKE MWENZETU NA MUNGU ATATUBARIKI.
No comments:
Post a Comment