MIMI NI MWANAMKE MFIPI MNENE. HUWA SIPATI NGUO ZA KUNIKAA VIZURI. JE! SILVER B MNAWEZA KUNIPA ANWANI YENU? MKO WAPI? NA BEI ZENU ZINAKUWA KATI YA SHILINGI NGAPI NA NGAPI?
hakika silver b,ndo suluhisho la tatizo lako,utapata nguo nzuri na zitakazo kukaa vizuri sana .TUKO JAMHURI STREET,JENGO LENYE AZAM TAKE AWAY,NYUMA YA BENJAMIN MKAPA TOWER...BEI ZETU NI RAHISI SANA.WAHI SILVER BOUTIQUE TUKUPAMBE.
NI BOMBAAAAAAAAAAAA ILE MBAYA.MMEKUBALIKA..
ReplyDeleteasante sana karibu
ReplyDeleteMIMI NI MWANAMKE MFIPI MNENE. HUWA SIPATI NGUO ZA KUNIKAA VIZURI. JE! SILVER B MNAWEZA KUNIPA ANWANI YENU? MKO WAPI? NA BEI ZENU ZINAKUWA KATI YA SHILINGI NGAPI NA NGAPI?
ReplyDeletehakika silver b,ndo suluhisho la tatizo lako,utapata nguo nzuri na zitakazo kukaa vizuri sana .TUKO JAMHURI STREET,JENGO LENYE AZAM TAKE AWAY,NYUMA YA BENJAMIN MKAPA TOWER...BEI ZETU NI RAHISI SANA.WAHI SILVER BOUTIQUE TUKUPAMBE.
ReplyDeletehellow silver b mko juu i appreciate that,keep shining guys
ReplyDelete