Slideshow

Slideshow 2

Wednesday, July 6, 2011

Rock n Roll … !!!

_MG_5610

_MG_5623

_MG_5629

_MG_5635 _MG_5645

5 comments:

  1. Kweli hii ni Rock and Roll nimekulije shostito, vijimaneno vyenu tuu kwenye mmeamua kufanya biashara hongereni mwaya.

    ReplyDelete
  2. hongera silver boutique ila mi naomba uwe unatuandikia bei kwa pembeni ili tujue jinsi ya kujipanga . napenda sana nguo zako

    ReplyDelete
  3. asante sana mpendwa.hakika ni rock n roll

    ReplyDelete
  4. asante kwa kupenda nguo zetu.tupigie simu tutakupa bei

    ReplyDelete
  5. Hata mimi napenda sana nguo zenu ni vema mkatuwekea na bei ili nikitaka nakuja kamili sio nakuja na hela pungufu then nirudi tena kwa ATM mbaya zaidi ukute ATM out of Service na nguo zenyewe ndio kama hivyo zinatamanisha sana

    ReplyDelete