Dadaa Shamim Mwasha wa 8020 Blog akiwa ndani ya duka la Silver Boutique akichagua mazagazaga.
Silver Boutique tunaopatikana Jamhuri Street nyuma ya Jengo la Benjamin Mkapa wameshusha mzigo mpya kwa ajili ya kina dada na akina kaka wanaojali umaridadi…. nyote mnakaribishwa.
No comments:
Post a Comment