haya wadau,viatu vya office ndo vimeingia, ni SILVER BOUTIQUE PEKEE.wamewaletea viatu vya ofisi.havitakuchosha kutembea,very comfotable…wala kisigino hakichomoki hata km una kg 100.kwa raha zako utafurahia uhimara wa kiatu.ni PURE LATHER…..wahi ujipatie chako.
silver b mko juu sana .nice shoes tutakuja
ReplyDeletekaribu sana dear.
ReplyDelete